Diamond Platnumz ametajwa kuwania vipengele vitano kwenye tuzo za mwaka huu za Afrima.
Vipengele hivyo ni pamoja na Songwriter of The Year in Africa, Song of The Year in Africa, Artiste of The Year, Best Artist in Africa na Best Male Artist in Eastern Africa.
Alikiba ametajwa kuwania kipengele kimoja cha Best Male Artist in Eastern Africa huku kundi la Yamoto Band likitajwa kuwania kipengele cha Revelation of The Year.
Hata hivyo mwaka huu kuna upungufu mkubwa wa wasanii wa Tanzania kwenye tuzo hizo. Tuzo hizo zitatolewa November 6 jijini Lagos Nigeria.

Chapisha Maoni