Nahreel Mwanamuziki na mtayarishaji wa muziki kutoka studio za 'The Industry Studio' Nahreel amefunguka na kusema yeye haj...
Hakunaga kama Chid Benzi - Nikki Mbishi
Niki Mbishi Ikiwa imepita miezi kadhaa toka rapa Chid Benzi alimaarufu kama 'Chuma' kuachia wimbo wake mpya na baadaye kup...
Ngoma ya Darassa yaweka rekodi mpya
Darassa Ikiwa sasa zimepita wiki tatu tu tangu Rapa Darassa ameachia wimbo wake wa 'Muziki' mpaka sasa video ya wimbo huo...
ALI Kiba na Ommy Dimpoz Katika Kashfa ya Kutokumlipa Aliyewatungia Nyimbo ya Kajiandae
Zimetufikia za kunyapia nyapia kutoka shirika la wambea SHILAWADU kuihusu hitsong ya wakali wawili wa muziki hapa Bongo Ommy ...
RIDHIWANI Kikwete Awaponda Diamond na Ali Kiba, Awapa Onyo
Mbunge wa Chalinze Ridhiwani Kikwete ameponda Diamond na Ali Kiba kuwa na bifu akisema zinaweza kusababisha madhara makubwa a...
MTV MAMA: Ushindi wa Kishindo wa Wizkid Utuamshe Kuhusu Tunavyozichukulia Tuzo
Ushindi wa kishindo wa Wizkid kwenye tuzo za MTV MAMA mwaka huu, unanikumbusha wale wanafunzi wa kiume ambao huwa hawana time kab...
Ukweli Unauma, Hizi Ndio Sababu Zilizotufanya Watanzania Tukakosa Tuzo MTV Awards
Ngoja Niongee Leo Hii. Watu Wengi Wamekuwa Wakijiuliza Why Tumeshindwa Huku Wakipeleka Lawama Zote Kwa Teams Bila Hata Kuchambua ...
Eddy Kenzo Awatolea Uvivu MTV Base, Adai Ameshinda ila Tuzo Akapewa Mwingine
Msanii wa Uganda Eddy Kenzo asema kuna namna inafanyika kuamua washindi wa MTV Mama na si upigaji wa kura maana kwenye kipengele ...
Singeli Imenipa Nyumba na Gari – Man Fongo
Msanii wa muziki wa Singeli nchini Man Fongo amefunguka na kusema anashangaa mafanikio makubwa ambayo ameyapata ndani ya muda mfu...
Bilionea Mohammed Dewji Akoshwa na Mafanikio ya Mwanamuziki Diamond...Asema Haya
Miongoni mwa bilionea wa Afrika aliyekuwa Mbunge wa Singida na CEO wa MeTLGroup, Mohammed Dewji, afunguka kuhusu Diamond platnumz...
Diamond Kufanya Collabo na Mwanamuziki Usher Raymond..
Spidi ya Diamond kulitafuta tobo la Marekani inatisha. Akiwa na collabo kibindoni na French Montana, Yo Gotti na Ne-Yo ambaye wat...
Amini Amrushia Dongo Linah Sanga...Adai Nyimbo zake za Sasa Sio Nzuri Zinakosa Uyeye....
Amini aliwahi kuwa na uhusiano wa kimapenzi na Linah uliodumu kwa miaka mingi kabla ya kuachana na kila mmoja akawa na maisha yak...
Wasanii 10 Waliobuma Pamoja na Kutoa Nyimbo Kali Mwaka Huu
Mara baada ya team za pande mbili kuendelea kushamiri katika mitandaoni hali hii imewanyima nafasi wasanii wengine wa bongo kufan...
Mke wa Mtu Amponza Mwanamuziki Tunda Man
Msanii wa Tip Top Connection, Tunda Man ameshindwa kuachia video ya wimbo wake mpya ‘Mwanaume Suruali’ baada ya kumtumia mke wa m...
Future Kutumbuiza Kwenye MTV MAMA Pamoja na Diamond na Alikiba
Rapper wa Marekani, Future, ametangazwa kuwa msanii wa nje ya Afrika atakayetumbuiza kwenye tuzo za MTV MAMA, Oktoba 22. Future a...
Chris Brown jukwaa moja na Alikiba Mombasa Kenya
Baada ya kuwa msanii Pekee kutoka East Africa kuingia kwenye Nomination za MTVEMA International. Na Baada ya kumfunika Diamond Ku...
Ama Kweli Nabii Hakubaliki Kwao..Tazama Rayvan na Harmonize Walivyopokelewa Burundi
Aisee ama kweli nabii hakubaliki kwao,daah waliotunga huu msemo walikuwa ma generous sana kwa kweli Licha Rayvan na Raj boy ...
MAMBO Yamwendea Kombo DAVIDO..Akosa Tuzo za MTV Mama Mwaka Huu, Mwenyewe Ajipa Moyo Kwa Kusema Haya
Baada ya kutotajwa jina lake kwenye tuzo za MTV MAMA 2016, Davido amejipa moyo kufanya vizuri mwakani kwenye tuzo hizo. davido Ku...
Orodha ya Wasanii Watakaowania Tuzo za MTV MAMA 2016, Navykenzo, Diamond na Alikiba Ndani
Orodha ya wasanii watakaowania tuzo za MTV MAMA 2016, Jumamosi ya Oktoba 22 kwenye ukumbi wa Ticketpro Dome, Afrika Kusini imetok...
TETESI za Bifu Kati ya Raymond na Harmonize Kutoka WCB, Meneja Wao Asema Haya
Meneja anayewasimamia wasanii wa WCB wakiwemo Harmonize na Raymond, Ricardo Momo, amekanusha tetesi kuwa mafahari hao wamekuwa wa...

















