Kama picha inavyoonyesha
hapo juu, hii inaonyesha kuwa UKAWA wanachokiongea na wanachokitenda ni vitu
viwili tofauti. Labda ndio maana hata Rais ameamua kupuuzilia mbali malalamiko
yao.
Huyu huyu Msigwa ndio alikuwa wa Kwanza kupinga fedha za bunge kwenda kutengenezea madawati, lakini leo ndio amekuwa wa Kwanza kupiga picha mbele ya madawati yale Yale aliyoyapinga.
Lini UKAWA walitengua kauli yao kuhusu kutoshirikiana na Serikali ya CCM achilia mbali Naibu spika.?
Je kuna haja ya kuendelea kuwaamini UKAWA,?Au wabunge wamechoka kuburuzwa na Mbowe bila hoja za msingi.?

Wananchi njia panda kila
siku, ama ndo mmeamua kuchukua usemi wa “KUBALI YAISHE”
Hongera Msigwa kwa kuonyesha unafiki wa UKAWA.

Chapisha Maoni