Kupitia Instagram yake Wema Sepetu ametangaza
rasmi ujio wa bidhaa yake nyingine ambayo hii ni ya mguuni na iko simple kwa
namna hiyo.
Kaandika
Kaandika
‘Mara nyingi napenda sana viatu vya chini na vya asilia…
nikajionea kwanini nisitengeneze cha aina hiyo?jipatieWema sepetu flops kwa
shilingi 12000 kwa jumla na 15000 rejareja, toa oda yako sasa na tutakizindua
rasmi tar 29 ambapo mwenyewe ntakuuzia…#UsikuWaWazaramu Loading….. namba ya
kupiga kwa ajili ya kuplace order yako ni 0655066565…. vipo design nyiiiingi na
rangi nyingi mnoooo’
Chapisha Maoni