0

Baadhi ya mastaa bongo waliweka ujumbe tofauti kwa mashabiki wao kwaajili ya sikuku ya Eid, Wema Sepetu alitumia nafasi hio kumkumbuka Ex wake ambaye ni Model Mtanashati Luis Munana

Luis Munana aliwahi kuripotiwa kuwa mpenzi wa Wema Sepetu ila kutokana na mastaa hawa wawili kuishi nchi tofauti ilikuwa ngumu kuendeleza mahusiano hayo.

Wema Alitupia picha hiyo akiwa na Luis Munana na Kuandika Maneno haya hapa chini:
Eid Mubaraq everyone….!!! Gnyt World…!!!
Hiyo imetafsiriwa na Baadhi ya watu kuwa ni njia ya kumuumiza Idriss Sultan ambae inasemekana wameachana kwa sasa kila mtu anahamsini zake huku Idriss akionekana beneti na mrembo Linah Sanga..

Chapisha Maoni

 
Top