0

STAA wa Bongo filamu nchini, Shamsa Ford amefunga ndoa na Rashidi Said ‘Chidi Mapenzi’ ambaye ni mfanyabiashara wa maduka ya nguo.

Sherehe za ndoa hiyo zilifanyika nyumbani kwa wazazi wa Shamsa eneo la Sinza, Afrikasana jijini Dar es Salaam.

 Awali, Shamsa alidumu katika penzi na Dickson Matoke ‘Dick’ na kufanikiwa kupata mtoto mmoja wa kiume aitwaye Terry na kisha  kufunga ndoa ya kimila nyumbani kwa mwanaume huyo, Tarime mkoani Mara ila baadaye waliachana na kuangukia kwa staa wa Bongo Fleva Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’  ambaye penzi lao halikudumu.

Next
Rais Magufuli ataka Jecha apewe Tuzo ya heshima, Amtaka Dr Shein Apunguze Upole, Watakaomsumbua Awataje Washughulikiwe Rais Magufuli ataka Jecha apewe Tuzo ya heshima, Amtaka Dr Shein Apunguze Upole, Watakaomsumbua Awataje Washughulikiwe RAIS John Magufuli, amemtaka Dk. Ali Mohamed Shein, kumpa tuzo Jecha Salim, mwenyekiti wa Tume ya uchaguzi Zanzibar, kutokana na kile alichokiita kazi nzuri aliyoifanya visiwani humo mwaka jana, kwa kufuta matokeo ya uchaguzi mkuu. Rais Magufuli aliyasema hayo jana jioni, katika ziara yake ya kikazi visiwani Pemba. Wakati Rais Magufuli akichaguliwa katika uchaguzi wa Oktoba mwaka jana, Dk. Shein alichaguliwa kuwa Rais wa Zanzibar kufuatia uchaguzi wa marudio uliofanyika Machi mwaka huu. “Nampongeza sana Jecha kwa kazi nzuri aliyofanya kwa mujibu wa Katiba ya Zanzibar, na kwa kweli Dk. Shein kama kuna tuzo zako utakazotoa, naomba usimsahau kumpa na Jecha,” alisema Rais Magufuli. Rai Magufuli pia alimtaka Rais huyo wa Zanzibar kumtaarifu yeye ili awashughulikie watu wote wanaomsumbua visiwani humo au wanaoonekana kumzidi nguvu. “Rais Shein kama kuna mtu unaona anakusumbua wewe au anakupa tabu nijulishe mimi tu, hata dakika tano hazitapita nitamshughulikia,” ameeleza. Kauli hiyo inakuja, ikiwa ni zaidi ya miezi kumi sasa tangu hali ya mahusiano baina ya wananchi wa Zanzibar iwe tete, tangu pale Jecha Salim Jecha, Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi visiwani humo (ZEC) alipotangaza kufuta matokeo ya uchaguzi mkuu wa mwaka jana. Mahusiano hayo mabaya yamesababisha, wafuasi wa vyama vya CUF na CCM vyenye nguvu zaidi visiwani humo, kufikia hatua ya kusitisha ushirikiano katika shuguli za kiuchumi na kijamii ikiwemo kutohudhuria misiba na kutonunua bidhaa za mtu wasiyeendana naye kiitikadi. “Niombe vyombo vya ulinzi na usalama wafuatilie hao wanaokatakata na kuchoma karafuu washughulikiwe bila huruma. Atakayejaribu kuichezea amani, atacheza yeye tena mchezo asiojua kuucheza,” aling’aka Rais Magufuli. Tangu kufutwa kwa uchaguzi mkuu wa mwaka jana visiwani Zanzibar, hali ya usalama imekuwa si ya kuridhisha. Nyumba na mashamba ya karafuu yamekuwa yakichomwa moto, huku baadhi ya watu wakitiwa mbaroni na vyombo vya dola kwa tuhuma hizo Bonyeza HAPA kudownload application ya UDAKU SPECIAL kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka 03 Sep 2016 Labels: John Magufuli WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI RELATED POSTS Magufuli: Kuna Viongozi wa UVCCM Wamegawana Magorofa ya Vitega Uchumi ya Umoja Huo Magufuli: Kuna Viongozi wa UVCCM Wamegawana Magorofa ya Vitega Uchumi ya Umoja Huo 13 Aug 2016 Rais Magufuli Atoa Mpya..Awataka Watanzania Waendelee Kufyatua Watoto Bila Hofu Rais Magufuli Atoa Mpya..Awataka Watanzania Waendelee Kufyatua Watoto Bila Hofu 12 Aug 2016 Rais Magufuli: TAKUKURU Chunguzeni Kampuni ya Robert Kisena (Simon Group) Rais Magufuli: TAKUKURU Chunguzeni Kampuni ya Robert Kisena (Simon Group) 12 Aug 2016 Magufuli: Nataka Kutengeneza Tanzania Mpya Magufuli: Nataka Kutengeneza Tanzania Mpya 11 Aug 2016 Taarifa Toka Ikulu: Rais Magufuli Katoa Maagizo Mazito Kwa Viongozi Wote Hapa Nchini, Pia Katoa Onyo Kali Kwa Walimu Taarifa Toka Ikulu: Rais Magufuli Katoa Maagizo Mazito Kwa Viongozi Wote Hapa Nchini, Pia Katoa Onyo Kali Kwa Walimu 02 Aug 2016 12 Previous Next POST A COMMENT AnonymousSeptember 3, 2016 at 10:43 AM Ujinga mtupu Reply unounomousSeptember 3, 2016 at 11:45 AM Amani ilishachezewa kwa kufuta matokeo.kinachoendelea ni siasa na tanzania ya leo ibayokwenda kubaya.kulazimisha mambo ndiko kunakoiyumbisha Tanzania. Na kusulubu watu kinguvu ni hatari kuu kiusalama nchini.moto kwa moto.fikra za watu ni kidonda kisichoponeka. Reply AnonymousSeptember 3, 2016 at 12:21 PM Uchwara wote hao Reply AnonymousSeptember 3, 2016 at 1:50 PM Nasikia kutapika Wametutoka wote wawili Madikteta uchwara Fuck fuck fuck Reply AnonymousSeptember 3, 2016 at 4:50 PM Rais mzima unashabikia wizi wa kura Inatutia wasi wasi hata wewe uliiiba kura zetu Inchi haingozwi kijeshi? Hata mfanyeje CCM haitakuwa milele Tanzania Yote haya mtaja yalipa Mungu awalaani nyote Kwa uongo na unafiki Reply Emoticon NAFASI ZA KAZI CVPEOPLE AFRICA TRENDING NEWS Wema Sepetu: Sirudi Tena Dar Shamsa Ford kufunga ndoa Ijumaa hii OTHER NEWS Mirrowdaily Blog Nigerian Gay Man Bisi Alimi Blasts Bishop Oyedepo Says He Devices Sermons To Keep His Congregation In Poverty And Enrich Himself - Bisi Alimi, has been known to bash a few religious leaders in the past including Pastor Enoch Adeboye, Prophet TB Joshua, Pastor Chris Oyakhilome, and Bish... 4 hours ago Nafasi za Kazi Tanzania Job Opportunities at R.I.F.A Co LTD, Administrator (6 Positions) - We are looking for a reliable Office Administrators that will undertake a variety of day-to-day administrative tasks to ensure that the rest of the staff ... 5 hours ago Siasa Huru | SIASA HURU SABABU Zinazoweza Kupelekea Mwanamke Asiolewe Kabisa - Kuoa au kuoelwa ni jambo ambalo watu wengi hutamani kwani ni miongoni mwa hatua kubwa katika maisha ya kila mmoja. Ukifanya utafiti kwa watu ambao hawaja... 5 hours ago Raha Tz Diamond And Ne-Yo New Music Video Will Totally Blow Your Mind Away - Finally Diamond and Ne-Yo have shot the video for the new song ‘Marry Me’. And boy, they dance better than Michael Jackson… Diamond and Ne-Yo first met in ... 8 hours ago Bongo Celeb Kids | Global Insurance Tips VIDEO : Diamond Struggles To Speak With An American Accent As He Meets Kevin Hart - Money can surely buy anything including American accent! If you doubt it wait until you hear Diamond speaking English like Harlem-raised nigga. Early this... 12 hours ago 24TzOnline The Best Meets The Illest! Diamond And Ne-Yo New Music Video Will Totally Blow Your Mind Away (Video) - Finally Diamond and Ne-Yo have shot the video for the new song ‘Marry Me’. And boy, they dance better than Michael Jackson… Diamond and Ne-Yo first me... 14 hours ago Code Nirvana Introduction to Date, Time and Calendar in Java - By far managing time is the largest art humanity has wanted to achieve. Let’s at least learn to manage them in the virtual world. If you know the basics of... 1 year ago POPULAR POSTS Wema Sepetu: Sirudi Tena Dar Malkia wa filamu Wema Sepetu amelikimbia jiji la Dar es salaam na kuamua kuanzisha makazi mapya mkoani Arusha kama alivyodai mwenyewe. M... Shamsa Ford kufunga ndoa Ijumaa hii Msanii wa filamu Shamsa Ford anatarajia kufunga ndoa Ijumaa hii na mfanyabiashara wa nguo aitwae ‘Chidi Mapenzi’. Shamsa na Chidi Mapenzi... Mwimbaji Ruby Akimbilia EFM Radio Baada ya Ugomvi wa Maslahi Kati ya Mwimbaji Huyo na Clouds FM Pichani Ruby akiwa Kwenye Tamasha la EFM Mwimbaji Ruby ambae alikuzwa na kulelewa na Clouds FM Baada ya Kufanya vizuri katika mashinda... FAIZA Ally 'Napenda Kuvaa Nusu Utupu, Najipenda Nilivyo Bomba Najua Wengi Mnatamani' Mrembo Faiza Ally Ameamua Kufunguka haya Hapa Chini: "Napenda kuvaa half naked - Na najipenda kujiangalia nilivyo bomba Na kuangali... Kauli ya CHADEMA Kuhusu Hatua za NHC na Rasilimali za Mwenyekiti Mbowe Kutokana na habari zilizoandikwa leo na vyombo vya habari mbalimbali nchini kuhusu tukio la Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) kupitia kwa m... Diamond Platnumz Anunua Rolls Royce ya $400,000 na zaidi? Huenda Diamond Platnumz akawa ameitimiza ndoto aliyokuwa nayo kwa miaka mingi – kumiliki gari alipendalo zaidi, Rolls Royce. Kwa muda mr... Alikiba kuilaani rasmi bongo flava September Yule Mwana Dar es Salaam, Kingkiba, Balozi wa wanyama, Msanii pekee aliyetoboa Kimataifa bila Collabo, Kiboko ya Wizkid, Fundi na Master w... Polisi Wamevamia Kikao cha Ndani cha Kamati Kuu ya CHADEMA Kikao cha Kamati Kuu (CHADEMA) Kinachofanyika Dar es salaam kimevamiwa na polisi na viongozi walioko meza kuu wa natakiwa kwenda polisi. Video:Ndege za Kivita za Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) Zikivinjari Anga la Jiji la Dar es Salaam Leo Hii Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) kesho Septemba Mosi litaadhimisha miaka 52 tangu kuanzishwa kwa jeshi hilo. Katika maadhimisho hayo, ... Picha: Mkubwa Fella aonyesha nyumba 4 za wasanii wa Yamoto Band ‘watu wanaongea sana’ Mkurugenzi wa Yamoto Band, Mkubwa Fella ameonyesha nyumba nne za wasanii wake wa Yamoto Band baada ya baadhi ya watu kuhoji kuhusu mafanik... Populars Comments Archive Ads by Kwanza UDAKU SPECIAL BLOG © 2013. All Rights Reserved.Powered by BloggerTop
Previous
Je Kuwa MTU Maarufu Kunawezesha Kufanya Kila Kitu Kwenye Tasnia Mbali Mbali?

Chapisha Maoni

Emoticon
:) :)) ;(( :-) =)) ;( ;-( :d :-d @-) :p :o :>) (o) [-( :-? (p) :-s (m) 8-) :-t :-b b-( :-# =p~ $-) (b) (f) x-) (k) (h) (c) cheer
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.

 
Top