0

Chris Brown ameshangaza wengi tena baada ya kuamua kuka chini wakati unaimbwa wimbo wa taifa la Marekani kwenye mchezo wa kikapu wa watu maarufu.

Breezy alifanya hivi pamoja na mastaa wengine kwenye mchezo huo wa kikapu wa radio ya Power 106 ya mjini Los Angeles Jumapili ya Sept. 11 ikiwa ni miaka 15 toka tukio la kigaidi la 9/11 kwenye majengo ya World Trade Center.

Kabla wimbo haujaimbwa msanii Tank alielezea issue ya kukaa na kusimama wakati wimbo huu unaimbwa “I understand everybody’s exercising their right to stand or sit and exercising their right to freedom and justice,But in the wake of 9/11, please understand the fact that real men, women, and children lost their lives for this very thing that we’re able to stand for today.” Video:

Chapisha Maoni

 
Top