Ipokee habari njema kutoka kwa staa mkongwe katika muziki wa Bongo Fleva Mwana FA ambaye amebahatika kupata mtoto wa pili wa kike usiku wa jana May 22,2018
Mwana FA ni miongoni mwa mastaa wachache ambayo hawaweki mahusiano yao ya kimapenzi katika mitandao ya kijamii na pia amekuwa mtu ambaye ni msiri kuhusiana na familia yake kwenye mitandao ya kijamii
Mwana FA alifunga pingu za maisha na mke wake Helga mwaka 2016 na hivyo baada ya miaka miwili wamebahatika kuongeza mwanafamilia mwingine katika familia yao, hongera nyingi ziwafikie..
Chapisha Maoni