Haya jamani yule Sosholaiti wa Kenya kazama kwa Mchaga wa Kishumundu
(Sina uhakika). Kaka huyo ajulikanaye kama Danford Kessy amemteka mrembo huyo
ambaye amekiri kuwa ni muda mrefu amekuwa akijilinda lakini sasa amefika bei
kwa Mkaka huyo Handsome.
Tazama Picha ya mwanaume huyo hapa:
Chapisha Maoni