September 28, 2016 ni siku ambayo anazaliwa
mrembo na mwigizaji wa Filamu, Wema Sepetu ambapo pamoja na watu wengi kumtakia
kila la kheri yupo pia Mama mzazi wa Diamond Platnumz ambaye kwenye
akaunti yake ya Instagram amepost picha ya Mama yake Diamond akaisindikizia na
maneno haya ..
Happy birthday.. Mamy akee @wemasepetu mungu akuongezee umri na akujali kheri akufungulie Mlango wa baraka kwa kila uliombalo.Aminππ ππ


Chapisha Maoni