Ukitaja marais barani Afrika ambao wanapenda soka huwezi kumtoa Rais wa Rwanda, Paul Kagame ambaye yeye ni shabiki wa kutupwa wa klabu y...
Alichokiandika Kikwete Baada ya Kumtembelea Mbwana Samatta Nchini Ubeligiji ..
Rais mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete jana usiku amekutana na nahodha wa Timu ya taifa ya Tanzania (...
Mbwana Samatta Aihamishia Mazembe Ubelgiji
Ubelgiji .Wakati mshambuliaji wa zamani wa TP Mazembe, Mbwana Samatta akitamba na Genk, klabu ya Standard Liege imebadilisha uhamisho wa ...
Hizi Ndizo Timu 3 zilizoshuka Daraja Msimu huu...Yanga Rasmi Bingwa
Ligi kuu Tanzania bara imemalizika Leo jioni Yanga ikitangazwa Rasmi kuwa Bingwa Hizi Ndizo Timu 3 zilizoshuka Daraja Msimu huu... JKT...
CHEKA Adai Hakupigwa India, Aeleza Alichofanyiwa na Mwamuzi
Bondia Mtanzania Francis Cheka ambaye mwishoni mwa wiki alipoteza pambano lake nchini India alilopigana na raia wa nchi hiyo ...
UKOCHA: Pluijm Amwaga Mboga Yanga
Usemi wa Waswahili kuwa, ukimwaga ugali, nami namwaga mboga umetimia kwa klabu ya soka ya Yanga ambayo licha ya uongozi wake ja...
PICHA:Hans Van Pluijm Alivyotua Mazoezini Kuagana na Wachezaji wa Yanga
Baada ya kuamua kujiuzulu nafasi ya ukocha mkuu wa Yanga, Hans van Pluijm alienda kwenye mazoezi ya klabu hiyo kwa ajili ya kuaga...
Matumaini Mapya Kwa Mchezaji Kutoka Tanzania Hasheem Thabit Kurudi Kucheza NBA Baada ya Kutemwa
Miaka kadhaa iliyopita, kwa mara ya kwanza Tanzania ilipata mwakilishi kwenye ligi bora ya kikapu duniani; NBA kupitia Hasheem Th...
Hans van Pluijm amejiuzulu Yanga Baada ya Kusikia Ujio wa Kocha Mpya
Kocha Mkuu wa klabu ya Yanga Hans van der Pluijm ameandika barua ya kujiuzulu kuifundisha klabu hiyo ya Jangwani. Uamuzi wa Pluij...
Mrithi wa Pluijm Asaini Miaka Miwili Yanga
Taarifa inayosambaa kwa kasi kwenye mitandao ya kijamii ni ujio wa kocha mpya George Lwandamina anayetajwa kuchukua nafasi ya Bab...
Thomas Ulimwengu Aondoka TP Mazembe, Afuata Ndoto zake Kucheza Ulaya
Baada ya kucheza misimu mitano kwenye klabu ya TP Mazembe, mchezaji wa Taifa Stars, Thomas Ulimwengu ameondoka kufuata ndoto za...
Man U yang'ara ligi ya Europa..Paul Pogba Afuta Nuksi
Paul Pogba alifunga mara mbili wakati Manchester United walipoibuka na ushindi mnono wa 4-1 dhidi ya klabu ya Fenerbahce katika k...
Lionel Messi Anatuhumiwa Kuzuia Mchezaji Mwenzake Asiitwe Timu ya Taifa
Timu ya taifa ya Argentina inatajwa kuwa katika nafasi mbaya ya kuwania kufuzu kucheza Kombe la Dunia 2018 Urusi, hiyo inatokana ...
Mwamuzi Aliyechezesha Mpira wa Yanga na Simba Afungiwa Miaka Miwili..Kadi Nyekundu ya Mkude Yafutwa
Habari zilizoifikia ambazo hazijathibishwa na TFF, Bodi ya ligi wala chama cha waamuzi ni kwamba, mwamuzi wa kati Martin Saanya n...
Jicho la 3: Maajabu ya goli la Tambwe, na jinsi waamuzi walivyoibeba Simba muda mwafaka katika goli la Kichuya
Na Baraka Mbolembole ‘NI Ujinga’ kufikiria unaweza kupata matokeo mazuri wakati unachofanya ni kile kile kila msimu na kinakulete...
SIMBA Vs Yanga: Mabomu ya machozi yalindima Uwanjani
Mashabiki wa Simba uzalendo uliwashinda baada ya bao la Amissi Tambwe na kumua kurusha viti uwanjani wakipinga bao hilo, kutoka...
Mbwana Samatta Kuitoa Kimasomaso Genk leo
Mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania, Mbwana Samatta leo ataiongoza timu yake ya KRC Genk kusaka ushindi dhidi ya US Sassuolo ya...
Simba Vs Yanga: Mashabiki waonywa kuhusu uwanja
Mashabiki wa Simba na Yanga katika dimba la Taifa Kuelekea katika mpambano wa watani wa Jadi Simba SC dhidi ya Yanga utakaopigwa siku y...















