Kupata simu ya bei rahisi zaidi duniani aina ya smartphone
sio rahisi.
Freedm 251 ni simu ya Android iliotengazwa na kampuni ya Ringing Bells kutoka India na inagharimu Rupee 251 sawa na Shilingi 8118 za kitanzania
Unapoibeba kwenye mkono utahisi umebeba simu ya kampuni ya Apple aina ya iPhone 5.
Na kulingana na bei yake ina programu za kuvutia.
Kamera ya mbele na nyuma.

Ina upana wa nchi nne.Ina programu ya Quad-core inayotoa
nguvu ya operesheni ya simu hiyo lakini haitumii betri yake mara nyengine.
Kuna aina mbili moja ya simu hizo nyeusi na moja nyeupe.Unapoitumia inafanya kazi kama smartphone ya kawaida.
Hatahivyo ni vigumu kuipima uwezo wake kwa kuwa ina programu chache ambazo hufanya kazi za kawaiada.

Chapisha Maoni