Siku za karibuni staa wa bongo movie Salma Jabu maarufu Nisha bebee
alionkana kuwa ni mjamzito kwa madai kuwa alipata mimba hiyo mara baada
ya kubakwa, leo amekubali kukaa na Ayo TV katika exclusive interview na
kuelezea ukweli kuwa hana mimba badi alifanya vile kwa sababu
alizozitaja hapa kwenye hii video...
VIDEO:
Chapisha Maoni