0
Niki Mbishi




Ikiwa imepita miezi kadhaa toka rapa Chid Benzi alimaarufu kama 'Chuma' kuachia wimbo wake mpya na baadaye kupotea kabisa Rapa Nikki Mbishi amefunguka na kusema kuwa katika muziki wa Hip hop hakuna rapa mzuri na mwenye uwezo kama Chid Benzi.


Nikki Mbishi ameonesha kusikitishwa sana na kupotea kimuziki kwa Chid Benzi na masuala ya utumiaji wa dawa za kulevya na kusema siku zote huwa anaumia sana juu ya Chid Benzi na amemuomba kurudi kwenye muziki na kutotumia dawa za kulevya kwani si nzuri kwa afya yake.

"Jamaa ananiumaga sana nyinyi hamjui tu, hakunaga kama Chid Benzi. They die in talent am so sory for you brother came back, don't do drugs it's not good for your health" alisema Niki Mbishi .


Chapisha Maoni

 
Top