Tujikumbushe Gwajima Alipotoa kauli ya kumfufua Amina Chifupa,
Nimekuwekea Video kuhusu Kumfufua Amina Chifupa aliyefariki mda mrefu
uliopita. Askofu Gwajima anadai Moja ya mtu aliyerudishwa kutoka kwenye
msukule ndio aliesema alimwacha Amina Chifupa akiwa huko kwenye misukule
Chapisha Maoni