0

 


Mmoja wa watoto 15 wa nguli wa Hip hop DMX , Sonovah Hillman Jr mwenye umri  wa miaka 8 kupitia mahojiano na NBC DFW amethibitisha kuwa tayari ana nyimbo 20 na tayari ameachia kazi mbili.

Sonovah ameeleza kwa ujasiri kwa kusema “Chochote kilichomo akilini mwangu, ninaandika tu, ku-rap kunanifanya nijisikie nina nguvu, siku moja kumiliki jumba lenye vyumba 15 vya kulala”.

Mama wa Hillman Jr, pia anasema roho ya DMX iko hai na iko ndani ya ufundi wa binti yao, ikumbukwe Rapper DMX alifariki mapema mwezi Aprili kwa  mshtuko wa moyo.

Next
This is the most recent post.
Previous
Taarifa za zamani

Chapisha Maoni

 
Top