0
DMX bado anaishi kwa Hillman Jr
DMX bado anaishi kwa Hillman Jr

 Mmoja wa watoto 15 wa nguli wa Hip hop DMX , Sonovah Hillman Jr mwenye umri  wa miaka 8 kupitia mahojiano na NBC DFW amethibitisha kuwa tayari ana nyimbo 20 na tayari ameachia kazi mbili.Sonovah ameeleza kwa ujasiri kwa kusema “Chochote kilichomo ak…

Soma zaidi »

0
Sekta ya mawasiliano ya simu ni nguzo muhimu katika kukuza uchumi.
Sekta ya mawasiliano ya simu ni nguzo muhimu katika kukuza uchumi.

Mabadiliko ya kidijitali yamekuwa moja ya chachu kubwa ya kusukuma mbele gurudumu la maendeleo nchini.  Juma lililopita, Umoja wa Forodha Ulimwenguni (WCO) uliweka bayana kwamba Tanzania inaweza kunufaika kwa kiasi kikubwa kwa kuwekeza katika teknol…

Soma zaidi »

0
Balozi wa Marekani Atimuliwa Venezuela
Balozi wa Marekani Atimuliwa Venezuela

Rais Nicolas Maduro ameamuru mwanadiplomasia wa ngazi ya juu wa Marekani aondoke nchini Venezuela baada ya kuwekewa vikwazo vingine kufuatia uchaguzi uliomrejesha madarakani Jumapili.Maduro alitangaza hatua hiyo Jumanne kupitia televisheni ya taifa …

Soma zaidi »

0
Ndoa ya FA Yapata Baraka Apata Mtoto wa Pili wa Kike
Ndoa ya FA Yapata Baraka Apata Mtoto wa Pili wa Kike

Ipokee habari njema kutoka kwa staa mkongwe katika muziki wa Bongo Fleva Mwana FA ambaye amebahatika kupata mtoto wa pili wa kike usiku wa jana May 22,2018Mwana FA ni miongoni mwa mastaa wachache ambayo hawaweki mahusiano yao ya kimapenzi katika mit…

Rais Paul Kagame Akamata Fursa Uingereza, Sasa Rwanda Kutangaza Utalii Kupitia Jezi za Arsenal
Rais Paul Kagame Akamata Fursa Uingereza, Sasa Rwanda Kutangaza Utalii Kupitia Jezi za Arsenal

Ukitaja marais barani Afrika ambao wanapenda soka huwezi kumtoa Rais wa Rwanda, Paul Kagame ambaye yeye ni shabiki wa kutupwa wa klabu ya Arsenal.Sasa kutokana na ukaribu uliopo kati ya Rais Kagame na Viongozi wa klabu ya Arsenal huenda ukawa ni cha…

Soma zaidi »

0
Hii Hapa Dawa Bora ya Nguvu za Kiume na Maumbile Madogo ya Uume
Hii Hapa Dawa Bora ya Nguvu za Kiume na Maumbile Madogo ya Uume

Tatizo hili limekuwa likiwaadhiri watu wengi sana kisaikolojia hasa baada ya kujiona wapo tofauti sana na wengine kwa kawaida mwanaume anatakiwa awe na uume kuanzia nchi 6-8 kwanza upungufu wa vichocheo hivi huchochea ukuaji wa uume chongo ambalo hu…

Soma zaidi »

0
Breaking News: Babu Tale Arudishwa Tena Rumande Kesi Yake Yahairishwa
Breaking News: Babu Tale Arudishwa Tena Rumande Kesi Yake Yahairishwa

Mkurugenzi wa Kampuni ya Tip Top Connection ya jijini Dar es Salaam na Meneja wa mwanamuziki Naseeb Abadul ‘Diamond’, Hamis Taletale ‘Babu Tale’, leo amefikishwa katika Mahakama Kuu jijini Dar ambako baada ya hakimu aliyetoa amri ya kumkamata kutoku…

Soma zaidi »

0
Jina la Ngoma Mpya ya Roma Mkatoliki Lazua Gumzo, Mkewe Ahofia Kumpoteza
Jina la Ngoma Mpya ya Roma Mkatoliki Lazua Gumzo, Mkewe Ahofia Kumpoteza

Kila mdau wa muziki nchini Tanzania kwa sasa anahamu ya kusubiri wimbo mpya wa rapa Roma Mkatoliki hii baada ya mkali huyo wa Hip Hop kupitia katika kipindi kigumu cha kufungiwa wimbo wake na yeye mwenyewe kupigwa marufuku ya kutojihusisha na muziki…

Soma zaidi »

0
Rais Magufuli afanya uteuzi
Rais Magufuli afanya uteuzi

Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amefanya uteuzi wa  mwenyekiti wa Bodi ya wakurugenzi  ya chai Tanzania (TBT) na Mkurugenzi  wa Taasisi ya Utafiti wa kilimo Tanzania (TARI).Katika taarifa ilitolewa na Ofisi ya Kuruge…

Soma zaidi »

0
Mbunge Musukuma adai wabunge wengi wanavuta bangi
Mbunge Musukuma adai wabunge wengi wanavuta bangi

Mbunge wa jimbo la Geita vijijini Joseph Kasheku (Musukuma) bado anakazia kauli yake ya kuitaka serikali  iruhusu biashara ya bangi na mirungi.Musukuma amesema kuwa bangi ni nzuri kuliko pombe kwani mtu akivuta ana kuwa na nguvu za kufanya shughuli …

Soma zaidi »

0
UVCCM:Huu Sio Wakati Wakuabudu Cheo Cha Mtu
UVCCM:Huu Sio Wakati Wakuabudu Cheo Cha Mtu

Mwenyekiti wa Umoja wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Taifa, Kheir James, amesema wakati wa kufanya kazi kwa woga ndani ya umoja huo umepitwa na wakati.Akizungumza na wanachama wa CCM na jumuiya zake visiwani Zanzibar, alisema huu ni wakati wa kufanya …

Soma zaidi »

0
Hiki Ndicho Walichosema TAKUKURU Mahakamani kuhusu nyaraka walizoomba kutoka kwa Aveva
Hiki Ndicho Walichosema TAKUKURU Mahakamani kuhusu nyaraka walizoomba kutoka kwa Aveva

Upande wa Jamhuri katika kesi ya tuhuma za utakatishaji fedha inayowakabili waliokuwa vigogo wa Klabu ya Simba, Evance Aveva na Godfrey Nyange maarufu kama Kaburu, umedai mahakamani kwamba bado haujapokea nyaraka kutoka kwa rais huyo.Madai hayo yali…

Soma zaidi »

0
A-Z KUHUSU MAISHA HALISI YA DKT SHIKA WA LUGUMI
A-Z KUHUSU MAISHA HALISI YA DKT SHIKA WA LUGUMI

AKIZUNGUMZA na Global TV Online leo na matangazo hayo kurushwa  jioni hii saa 10:30, Dkt. Louis Shika ambaye amepata umaarufu mkubwa baada ya kushiriki katika mnada wa nyumba za Said Lugumi jijini Dar es Salaam na baadaye ‘kukwaruzana’ na jeshi la p…

Soma zaidi »

0
RC Makonda Awaahidi Neema Mabaharia
RC Makonda Awaahidi Neema Mabaharia

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mheshimiwa Paul Makonda amewasihi  Mabaharia na nahodha wa meli kushirikiana na Serikali  kuwafichua wanaoingiza mizigo ya magendo na Dawa za Kulevya kupitia ukanda wa Bahari.RC Makonda amesema hayo leo jijini Dar es sa…

Soma zaidi »

0
Sakata la Msondo Ngoma: BASATA yawashukia WCB Wasema Ukitumia kazi ya Mtu Bila Utaratibu Hiyo Moja kwa Moja ni Kosa
Sakata la Msondo Ngoma: BASATA yawashukia WCB Wasema Ukitumia kazi ya Mtu Bila Utaratibu Hiyo Moja kwa Moja ni Kosa

Baada ya Band ya Msondo Ngoma kutaka ilipwe shilingi milioni 300 na kundi la WCB kwa kutumia bila ruhusa vionjo vya wimbo wake kwenye wimbo wa “Zilipendwa” Katibu Mtendaji wa Baraza la Sanaa Tanzania (BASATA) Godfrey Mngereza ameongea yafuatayo.“Una…

Soma zaidi »

0
Mjue Zaidi Marehemu Ndikumana wa Uwoya Aliyefariki Ghafla
Mjue Zaidi Marehemu Ndikumana wa Uwoya Aliyefariki Ghafla

Klabu ya soka ya Rayol Sports imempoteza kocha wake msaidizi Hamad Ndikumana ambaye amefariki usiku wa kuamkia leo ambapo ripoti za awali zinasema kifo chake kimesababishwa na matatizo ya Moyo.Kifo cha Ndikumana sio tu kitawaumiza viongozi wa klabu …

Soma zaidi »

0
Aliyekuwa Katibu wa CHADEMA Kanda ya Nyasa ahamia CCM
Aliyekuwa Katibu wa CHADEMA Kanda ya Nyasa ahamia CCM

Iringa. Aliyekuwa Katibu wa CHADEMA Kanda ya Nyasa, Frenk Mwaisumbe ametangaza kuhama chama chake na kujiunga na CCM.Mwaisumbe ambaye alishika wadhifa huo kwa kipindi cha miaka sita hadi alipoachia wadhifa huo Januari mwaka huu.Akizungumza na wanaha…

Soma zaidi »

0
Rais Magufuli Atoa Agizo kwa Tanroads Kuweka X Jengo la Tanesco na Kuvunjwa
Rais Magufuli Atoa Agizo kwa Tanroads Kuweka X Jengo la Tanesco na Kuvunjwa

Rais John Magufuli amemwagiza Wakala wa Barabara Tanzania (Tanroads) kuweka alama ya X kwenye jengo la Shirika la Umeme (Tanesco) na sehemu ya jengo la Wizara ya Maji na Umwagiliaji ili kupisha ujenzi wa daraja la juu katika eneo la Ubungo (Ubungo I…

Soma zaidi »

0
Tuzo kwa Walimu Zazinduliwa Rasmi Kinondoni
Tuzo kwa Walimu Zazinduliwa Rasmi Kinondoni

Manispaa ya Kinondoni imefanya vizuri zaidi katika mtihani wa kumaliza elimu ya msingi mwaka 2017 kwa kupata ufaulu wa asilimia 93.02, ambapo imekuwa halmashauri ya kwanza kitaifa.Akizungumza leo jijini Dar es salaam katika sherehe za uzinduzi wa ku…

Soma zaidi »
 
Top